JANJARO ATOA MACHOZI: GOZBERT AMUOKOA
October 21, 2019
Edit
Read More
Alianza kwa kuwarusha watu, showa za kibabe kama kawaida yake. Mwisho wa siku aliimba #Imani, na uwanja ulimshuhudia akienda chini kupiga magoti hadi pale #GooluckGozbert alipopanda jukwaani na kumfariji