HAKUNA PERFOMANCE KALI KAMA YA MR BLU BONGO.,TAZAMA HAPA.
October 21, 2019
Edit
Read More
Byser aliwapa wakati mgumu Dodoma, hawakujua washangae au washangilie. Alimleta #SteveRnB ikapigwa tabasamu, kisha #Shetta akaja na #Haufanani. Halafu Blue mwenyewe akaua na live band