LALA SALAMA- DIAMOND Cover by GOLD BOY. - play me

LALA SALAMA- DIAMOND Cover by GOLD BOY.






Lala samala ni jina la wimbo lililobeba Jina la Album yake ya pili. Wimbo wenye ujumbe mzito wa mapenzi uliotayarishwa chini ya A.M records na hapa Kijana Mahiri Gold Boy ameirudia na kukupatia flavor tamu kutoka kwenye original song. Bonyeza PLAY  ME. Na ufurahie mziki mzuri.